pmbet

Hatumwi mtoto dukani leo, ni Chelsea Vs Man United

Eric Buyanza

April 4, 2024
Share :

Hatimaye ile siku iliyokuwa ikusubiriwa kwa hamu imefika, Chelsea leo watakuwa na kibarua kigumu nyumbani Stamford Bridge kuwakabili Mashetani wekundu (Manchester United).

Chelsea wapo nafasi ya 12 kwenye msimamo wa Ligi wakiwa na alama 40 baada ya michezo 28 huku Manchester United wakiwa nafasi ya 6 na alama 48.

Tangu mwaka 1995 timu hizo zimekutana takribani mara 74, Chelsea wakiibuka na ushindi katika michezo 23 wakati Manchester United wameshinda michezo 22 huku michezo 29 ikimalizika kwa sare.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet