pmbet

Hatuna mshambuliaji - Benchika

Sisti Herman

January 14, 2024
Share :

Baada ya kupoteza mchezo wa fainali ya mapinduzi Cup dhidi ya Mlandege, Kocha wa Simba SC Abdelhak Benchikha amesema moja kati ya vitu alivyoviona kwenye ni mapungusu kwenye safu yake ya ushambuliaji kutokuwa na kiungo mshambuliaji na mshambuliaji anayeweza kuamua matokeo ya mechi.

 

“Walipotufunga (Mlandege) wakashuka chini ikawa ngumu kwetu kupata bao, hatuna wachezaji wanaopiga pasi za mwisho za maana na hatuna mshambuliaji wa kati wa kulazimisha, tunaenda kwenye Champions League timu kama Simba inahitaji kushindasna inahitaji mshambuliaji wa aina hiyo” alisisitiza Kocha Benchika baada ya mchezo wa jana.

 

Simba imepoteza ubingwa mbele ya Mlandege kwa goli 1-0.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet