pmbet

Hatutaki kuchochea "Vita ya 3 ya Dunia" - Macron

Eric Buyanza

May 14, 2025
Share :

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema kuwa nchi yake haitaki kuchochea Vita vya Tatu vya Dunia kutokana na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine. 

Katika mahojiano ya televisheni yaliyodumu kwa zaidi ya saa tatu, Macron aliyahimiza mataifa ya Ulaya kuisaidia Ukraine kujilinda japo kwa tahadhari bila ya kuchochea Vita vya Tatu vya Dunia.

Katika miezi ya hivi karibuni, Macron ameonekana kuchukua jukumu kubwa la kujaribu kuvimaliza vita vya miaka mitatu kati ya Urusi na Ukraine.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet