pmbet

"Hatutowahi kumuona mchezaji kama Lionel Messi tena"-Klopp.

Joyce Shedrack

June 23, 2026
Share :

Kocha wa zamani wa Liverpool Jurgen Klopp amemwagia sifa Nahodha wa Argentina na mfungaji bora wa muda wote wa Kombe la Dunia Lionel Messi baada ya kufikisha mabao 5 katika mechi 2 za michuano hiyo.

The inside story of Jurgen Klopp's shock Liverpool exit and his  controversial decision to head up Red Bull's football empire | Goal.com

Klopp ameweka wazi kuwa hakutawahi kutokea mchezaji kama Lionel Messi Duniani “Hatutawahi kumuona mchezaji kama Lionel Messi tena.”

 

Kocha huyo ambaye kwa sasa amepumzika kuwa mwalimu wa soka aliwahi kunukuliwa pia akisema“Nina selfie moja tu kwenye simu yangu, na hiyo ni ya Lionel Messi.”.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet