pmbet

Hawa ndio wababe wenye albam nyingi mpaka sasa

Eric Buyanza

March 6, 2024
Share :

Kunako Bongo Fleva, wakongwe Joseph Mbilinyi (Sugu) na Judith Wambura (Lady Jaydee) ndio wasanii waliofanikiwa kutoa albamu nyingi zaidi ikiwa ni zaidi ya miaka 20 tangu wameingia rasmi kwenye sanaa.
 

Sugu aliyetoka rasmi kimuziki mwaka 1993, anaongoza kwa kuwa na albam 10, ambapo albam yake ya kwanza (Ni Mimi) ilitoka mwaka 1995.

Anayefuatia ni Lady Jay dee mwenye jumla ya albam 9, ambapo ya kwanza ilikwenda kwa jina la (Machozi) na ilitoka mwaka 2001.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet