Haya ndiyo Magonjwa yaliyotikisa watu wazima wa Tanzania mwaka 2023
Eric Buyanza
January 11, 2024
Share :
Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, magongjwa hayo ni.....Maambukizi katika mfumo wa hewa wa juu kwa asilimia 18.9 kati ya Watanzania 100 ambao walikwenda Hospitali Watanzania 19 walikuwa au walikutwa na maambukizi katika mfumo wa hewa wa juu, asilimia 15.8 maambukizi katika njia ya mkojo (UTI) kati ya watu 100 waliokwenda Hospitali watu 16 walikutwa na UTI sawa na asilimia 15.8.
Malaria imechomoza pia kwa watu wazima kwa asilimia 6.9, shinikizo la juu la damu asilimia 5.6, Vidonda vya tumbo asilimia 3.7.