pmbet

Helikopta kutumika kupeleka wagonjwa Mloganzila

Eric Buyanza

May 23, 2024
Share :

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema ni dhamira ya Hospitali hiyo, kuwapokea wagonjwa, watakaofikishwa hosptalini hapo kwa njia ya helikopta. 

Janabi amyeyasema hayo baada ya kukamilisha mazungumzo na wataalam wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), jijini Dar es Salaam.

"MNH-Mloganzila, inaona mazingira yanaweza kukidhi, na tumefanya maamuzi kwa kutengeneza eneo maalumu la kushukia helikopta,” amesema Prof. Janabi

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet