Henderson akimbia Saudia, ajiunga Ajax
Sisti Herman
January 18, 2024
Share :
Baada ya miezi 6 tu tangu ajiunge na Al Ettifaq ya ligi kuu ya Saudia kiungo huyo ameichoka ligi hiyo na amejiunga rasmi na klabu ya Ajax Amsterdamya ligi kuu nchini Uholanzi.
Nahodha huyo wa zamani wa Liverpool ya ligi kuu Uingereza atasinya mkataba wa miaka 2 hadi 2026.