pmbet

Heshima ni bora kuliko dhahabu na fedha - Godbless Lema

Eric Buyanza

June 25, 2024
Share :

Baada ya jana Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kupewa adhabu ya kutohudhuria vikao 15 vya Bunge.

Kupitia ukurasa wake wa X, Godbless Lema ameandika;

"Heshima ni bora kuliko dhahabu na fedha.Unafanya kazi nzuri,umekuwa jeshi la mtu mmoja ndani ya Bunge. Mungu akubariki.Watu wengi wanafuatilia kazi unayofanya.Salute you Bro,ukiwa Arusha na Kaskazini fahamu kuwa una ndugu zako wengi na tafadhali karibu tunywe kahawa Arusha kwa vikao vyenye matumaini zaidi."

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet