Hii hapa 'List' ya wajumbe wa Mo Simba
Sisti Herman
June 17, 2024
Share :
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba SC Mohammed Dewji ametangaza wajumbe sita ambao atafanya nao kazi upande wa muwekezaji huku akimrejesha aliyekuwa mshauri wake Cresentius Magori.
Hili limekuja siku chache baada ya aliyekuwanMwenyekiti wa Bodi hiyo Try Again kujiuzulu na wajumbe wengine kujiuzulu nafasi zao kwenye bodi hiyo.
Wajumbe hao Bodi ni
1.Cresentius Magori
2.Hussein Kita
3.Salim Abdallah Tryagain
4.Mohammed Nassoro
5.Zulfikar Chandu
6.Rashidi Shangazi.