Hii ndio pombe kali kuliko zote duniani
Eric Buyanza
January 24, 2024
Share :
Pombe hii ya mauaji inaitwa (Spirytus Rektyfikowany) ni Vodka kutoka nchini Poland ambayo ina kiwango cha ulevi cha asilimia 96% ABV.
Tahadhari inatolewa kwamba unywaji holela wa kinywaji hiki bila kipimo unaweza kukurudisha kwa muumba wako.