pmbet

Hii ndio sababu kwanini wanaume hulala baada ya mapenzi!

Eric Buyanza

February 10, 2024
Share :

Kwa mujibu wa tafiti Wanaume mfumo wao wa mwili umeundwa kulala mara moja baada ya tendo la ndoa, hii hutokana na mchanganyiko wa homoni kama Norepinephrine, Serotonin, Oxytocin, Vasopressin, Nitric Oxide (NO) na Prolactin ambazo hutolewa pindi wanapofikia kileleni. 

Homoni hizo hupoozesha mwili kwa dakika kadhaa!

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet