"Hii propaganda wala huwezi kupata shida kujua inatokea wapi" - Mzee wa Jambia
Eric Buyanza
May 30, 2025
Share :
Nimeona Maandiko Kama 6 halafu yote yanafanana..SHAME ON YOU GUYS 😅😅
Kwamba timu 5 zimeiandikia TPLB Kutokuendelea na mechi za Ligi zilizobaki Kwasababu ya Kutoridhishwa na Mwenendo wa Ligi? ..✍️
Kwasababu ya Kutoridhishwa na namna waamuzi wanavyochezesha Ligi. Ni taarifa ya Uongo ❌
Hii ni zile taarifa maarufu “HII ISAMBAE” ni Very Cheap Propaganda
Kama Nikweli Kuna team zimeandikia TPLB zitajeni kwa Majina Yao ni team gani hizo? Nimewasiliana na TPLB hakuna Barua Kutoka timu hata moja ya Ligi Kuu
Na hii Propaganda wala huwezi Kupata shida Kujua inatokea wapi. Msingi wa haya yote ni Ushindi wa Jana wa Simba Sports
Dada mtu aliwekeza Mwili, nafsi na roho Kuhakikisha mnyama anapoteza Mechi ya Jana (juzi).
Lakini hivi baada tu ya Mechi ya Jana (juzi) Kuna Uwezekano Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi Kukaa na kutoa tathmini Kuhusu Heri Sasii?
Kanuni ya Kupokea ripoti ya Mchezo ni Masaa Mangapi? Ni Masaa 24 baada ya Mechi
Maana yake Kama Jana Mchezo ulimalizika saa 12 Jioni,unategemea Leo Saa 12 Jioni ndo wanapokea ripoti.
Au tunataka Kamati ifanye Maamuzi bila Kupokea ripoti ya Mchezo?
This is very Cheap
Wako Mtiifu.
Ameandika @mzeewajambia