pmbet

Hizi hapa nchi 15 zenye uchumi mkubwa Afrika 2025

Eric Buyanza

April 25, 2025
Share :

Pato la Taifa (GDP) ni kiashirio kikuu kinachotumika kupima ukubwa na uwezo wa uchumi wa nchi. 

Linawakilisha jumla ya thamani ya fedha ya bidhaa na huduma zote zinazozalishwa ndani ya taifa kwa muda fulani, ambao kwa kawaida ni mwaka mmoja.

Hii hapa orodha ya nchi 15 zenye uchumi mkubwa barani Afrika kwa mwaka 2025, kulingana na makadirio ya karibuni kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF), iliyotolewa Aprili 2025.

Orodha ya nchi kulingana na pato la taifa:

1. Afrika Kusini $410.34b
2. Egypt $347.34b
3. Algeria $268.89b
4. Nigeria $188.27b
5. Morocco $165.84b
6. Kenya $131.67b
7. Ethiopia $117.46b
8. Angola $113.34b
9. Côte d'Ivoire $94.48b
10. Ghana $88.33b
11. Tanzania $85.98b
12. Congo $79.12b
13. Uganda $64.28b
14. Tunisia $56.29b
15. Cameroon $56.01b

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet