pmbet

Hizi hapa nchi za Afrika zenye utajiri wa dhahabu

Sisti Herman

February 2, 2026
Share :

 

Afrika imebarikiwa kuwa na utajiri mkubwa wa madini, na dhahabu ni moja ya rasilimali zinazochangia kwa kiasi kikubwa katika uchumi wa nchi nyingi barani hapa.

Hizi hapa ni nchi 10 zinazoongoza kwa uzalishaji na akiba ya dhahabu barani Afrika (takwimu hizi huzingatia zaidi kiasi kinachochimbwa kwa mwaka):

1. Ghana
2. Afrika Kusini
3. Mali
4. Sudan
5. Burkina Faso
6. Guinea
7. Tanzania
8. Côte d’Ivoire (Ivory Coast)
9. Zimbabwe
10. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)

Tanzania ni nchi pekee ukanda wa Afrika Mashariki. Ina migodi mikubwa kama Geita Gold Mine (GGM) na North Mara. Serikali imekuwa ikifanya maboresho makubwa ya sheria ili kuhakikisha nchi inanufaika zaidi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet