pmbet

Hizi hapa nchi zilizowahi kunyanyua kombe la dunia

Eric Buyanza

June 5, 2026
Share :

Mataifa yaliyochukua Kombe la Dunia la FIFA tangu kuanzishwa kwake mwaka 1930 ni mataifa nane pekee. Brazil ndilo taifa linaloongoza kwa kushinda kombe hilo mara nyingi zaidi, ikiwa imetwaa taji hilo mara tano. Bingwa mtetezi wa sasa ni Argentina, waliolinyanyua kombe hilo katika fainali za mwaka 2022 nchini Qatar.

 

MABINGWA WA MFULULIZO:

Ni mataifa mawili tu yaliyowahi kulinda taji lao na kushinda mara mbili mfululizo: Italia (1934 na 1938) pamoja na Brazil (1958 na 1962).

 

MSHINDI WA KWANZA:

Uruguay ndilo taifa la kwanza kabisa kutwaa Kombe la Dunia mwaka 1930 walipokuwa wenyeji.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet