pmbet

Hizi hapa timu 10 muhimu kwenye magoli 900 ya Ronaldo

Sisti Herman

September 6, 2024
Share :

Baada ya jana kufanikiwa kufikisha mabao 900 kwenye maisha yake ya soka, hizi ni timu 10 ambazo Cristiano Ronaldo amezitumia kuandika rekodi muhimu;

▫️Goli la kwanza ni 7/10/2002 dhidi ya Moreirense
▫️Goli la 100 ni 27/01/2008 dhidi ya Spurs
▫️Goli la 200 ni 4/12/2010 dhidi ya Valencia
▫️Goli la 300 ni 5/5/2012 dhidi ya Granada
▫️Goli la 400 ni 6/1/2014 dhidi ya Celta Vigo
▫️Goli la 500 ni 30/9/2015 dhidi ya Molmo
▫️Goli la 600 ni 3/6/2017 dhidi ya Juventus
▫️Goli la 700 ni 14/10/2019 dhidi ya Ukraine
▫️Goli la 800 2/12/2021 dhidi ya Arsenal
▫️Goli la 900 5/9/2024 dhidi ya Croatia

Ronaldo alifunga goli moja lilimsaidia kufikia idadi hiyo kwenye mchezo wa UEFA Nations League dhidi ya Croatia ambapo Ureno wameshinda 2-1.

Goli lingine la Ureno kwenye mchezo huo lilifungwa na beki wa Manchester United huku pia akijifunga na kusaidia Croatia kupata goli la kufutia machozi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet