pmbet

Hizi hapa timu 2 ambazo Henry kazipa ubingwa wa Champions League

Eric Buyanza

March 11, 2026
Share :

Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal, Thierry Henry amezitaja Arsenal na Bayern Munich kama timu anazoona zinaweza kushinda UEFA Champions League msimu huu, akiwaacha nyuma Barcelona.
 

Henry amesema Bayern ni timu bora kuliko Barcelona, hivyo amewapa wajerumani hao nafasi ya ubingwa pamoja na Arsenal.
 

"Bayern Munich imekamilika zaidi kuliko Barcelona kwa jinsi wanavyoshambulia na kuhama nafasi,” Henry amesema.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet