pmbet

Hizi ndizo akaunti 10 za Instagram zinazofuatiliwa zaidi Duniani

Eric Buyanza

January 12, 2024
Share :

Mitandao ya kijamii imebadilisha jinsi watu wanavyoweza kuwasiliana katika kizazi hiki cha kidigitali.
 

Instagram inajulikana kuwa mojawapo ya majukwaa yenye ushawishi na maarufu duniani kote ikiwa na mabilioni ya watumiaji na imekuwa jukwaa muhimu kwa watu mashuhuri kuweza kujichanganya na mashabiki zao.


Na hizi ndizo account 10 za Instagram zinazofuatiliwa zaidi duniani;
 

1. Cristiano Ronaldo - wafuasi milioni 616
2. Lionel Messi - wafuasi milioni 496
3. Selena Gomez - wafuasi milioni 430
4. Kylie Jenner - wafuasi milioni 399
5. Dwayne Johnson - wafuasi milioni 395
6. Ariana Grande - wafuasi milioni 380
7. Kim Kardashian - wafuasi milioni 364
8. Beyoncé - wafuasi milioni 319
9. Khloe Kardashian - wafuasi milioni 311
10. Kendall Jenner - wafuasi milioni 294

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet