pmbet

Hofu yatanda mlipuko mpya wa Ebola DRC

Sisti Herman

May 19, 2026
Share :

 

Mlipuko wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo sasa umetangazwa kuwa dharura ya afya ya kimataifa na Shirika la Afya Duniani (WHO).

Aina ya sasa ya Ebola inasababishwa na virusi vya Bundibugyo, kama inavyosema shirika hilo la afya, ambayo hadi sasa haijakuwa na dawa wala chanjo zilizoidhinishwa.

Virusi hivyo vimeshaenea nje ya DRC, huku kesi mbili zilizothibitishwa ikiwemo kifo kimoja zikiripotiwa nchini Uganda jirani. Watu wote wawili walioambukizwa walikuwa wamesafiri kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Nchi nyingine mbili jirani Rwanda na Sudan Kusini nazo ziko katika hali ya tahadhari ya juu

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet