pmbet

Hojlund aanza kuvunja rekodi Uingereza

Sisti Herman

February 19, 2024
Share :

Baada ya kuifungia Manchester United magoli mawili katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Luton Town, mshambuliaji Rasmus Højlund ameweka rekodi ya kuwa mchezaji chipukizi zaidi kufunga goli kwenye mechi 6 mfululizo za Ligi Kuu England.

Orodha ya wachezaji kinda zaidi kufunga goli kwenye mechi 6 mfululizo za Ligi Kuu England kihistoria

1. Rasmus Højlund – miaka 21 na siku 14
2. Joe Willock – miaka 21 siku 272
3. Erling Haaland – miaka 22 siku 73
4. Romelu Lukaku – miaka 22 siku 213
5. Thierry Henry – miaka 22 na siku 263
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet