pmbet

Hojlund apewa jezi ya Martial Man Utd

Sisti Herman

July 26, 2024
Share :

Klabu ya Manchester United imempa rasmi Mshambuliaji wao kinara Rasmus Hojlund raia wa Denmark jezi namba 9 iliyokuwa ikimilikiwa na mshambuliaji Antonio Martial raia wa Ufaransa baada ya mkataba wake kutamatika na kuondoka Manchester United baada ya miaka 10.

Hojlund amekabidhiwa jezi hiyo ambayo kwa miaka ya karibuni imepoteza mvuto tofauti na zamani ambapo ilivaliwa na watu waliofanikiwa nayo zaidi kama;

- Sir Bobby Charlton
- Tommy Taylor
- Jack Rowley
- Andy Cole

Je Haojlund atarejesha heshima ya jezi hiyo? Muda utaamua.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet