pmbet

Hospitali Hispania yaanza kupeleka wagonjwa Beach

Eric Buyanza

March 31, 2026
Share :

#JeWajua Hospitali ya Del Mar huko kwenye mji wa Barcelona nchini Hispania imeanzisha utaratibu wa kuepeka wagonjwa ufukweni kwa ajili kupata hewa safi itakayorahisisha uponyaji wao.

 

Katika utaratibu waliojiwekea wauguzi huchukua wagonjwa hao wakiwa kwenye vitanda vyao na kuwatembeza taratibu mpaka kando ya bahari na hivyo kuwaruhusu kufurahia hewa safi, mwanga wa jua na mabadiliko ya mazingira.
 

Mpango huo umebuniwa ili kuboresha ahueni ya kimwili kupitia mazingira.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet