pmbet

Hospitali kutupa miili ya waliotelekezwa Mochwari

Sisti Herman

June 6, 2025
Share :

 

Hospitali ya Taifa ya Kenyatta nchini Kenya imetangaza mpango wa kutupa jumla ya miili 124 ambayo mpaka sasa haijachukuliwa na ndugu wa waliofariki.

Taarifa ya hospitali imetoa muda wa siku saba kwa wananchi kutembelea chumba cha kuhifadhia maiti ili kuchukua miili hiyo kabla zoezi la utupaji kufanyika.

Hii sio mara ya kwanza kwa hospitali hiyo kuchukua hatua hiyo, kufuatia kuongezeka kwa maiti ambao jamaa zao hawajitokezi kuwachukua, hivyo kuzidiwa kwa uwezo wa chumba cha kuhifadhi maiti.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet