Huenda Yanga ikalambwa faini!
Eric Buyanza
December 6, 2023
Share :
Klabu ya Young Africans huenda ikapigwa faini na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) kutokana na kushindwa kuvaa jezi zenye nembo za Michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika ndani ya mechi mbili walizocheza hadi sasa.