Huyu hapa mrithi wa Boniface AFCON
Sisti Herman
January 9, 2024
Share :
Baada ya jeraha la mshambuliaji nyota wa timu ya Taifa Nigeria inayojiandaa na AFCON 2023 Victor Boniface Kocha mkuu wa kikosi cha timu hiyo Jose Peseiro amemjumuisha kikosini mshambuliaji wa klabu ya OGC Nice ya Ufaransa Terem Moffi kurithi pengo la mshambuliaji huyo wa Bundesliga anayekipiga Bayer Leverkursen.