pmbet

Huyu hapa mrithi wa Pochettino Chelsea

Sisti Herman

May 23, 2024
Share :

Baada ya jana kuachana na aliyekuwa kocha wao Mkuu Mauricio Pochettino klabu ya Chelsea sasa inaangalia uwezekano wa kumchukua kocha mkuu wa Leicester City Enzo Maresca kwaajili ya kuwa kocha wao mkuu.

Enzo ambaye alikuwa msaidizi wa kocha Pep Guardiola Manchester City aliondoka City na kujiunga na Leicester ambayo ameisaidia kuwa mabingwa wa ligi daraja la kwanza na kurejea ligi kuu msimu mmoja tu baada ya kushuka.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet