pmbet

Huyu ndiye mtu tajiri zaidi kuwahi kutokea

Eric Buyanza

February 9, 2024
Share :

Kila mmoja anaelewa kuwa Bilionea wa kifaransa Bernard Arnault ndiye tajiri namba moja duniani kwa sasa akiwa na utajiri unaokadiriwa kufikia dola bilioni 217.5 akifuatiwa na Elon Musk mwenye utajiri wa dola bilioni 199.4
 

Lakini unajua ni nani anayeshikilia rekodi ya kuwa tajiri mkubwa zaidi wa muda wote duniani?
 

Mansa Mussa aliyezaliwa mwaka 1280 litakuwa si jina geni kwako, huyu alikuwa ni mtawala wa 9 wa himaya ya Mali (Mali Empire) katika kipindi ha karne ya 14. Utajiri wake ulitokana na biashara ya dhahabu ambayo alikuwa akiifanya sehemu mabalimbali duniani.
 

Inakadiriwa kuwa utajiri wa Mansa Mussa ulikuwa ni zaidi ya dola za kimarekani bilioni 400! (400 USD)! Hakuna binadamu mwingine aliyewahi kufikia kiasi hicho!

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet