pmbet

Ibrahim mbaroni kwa kumuwekea sumu mke wake, ili arithi Ng'ombe, mbuzi na kondoo

Eric Buyanza

March 7, 2024
Share :

Jeshi la Polisi katika Jimbo la Jigawa nchini Nigeria, linamshikilia mwanaume aliyefahamika kwa jina la Habu Ibrahim kwa kupanga njama za kumuua mke wake kwa sumu ili aweze kurithi mifugo yake ambayo ni Ng'ombe, mbuzi na kondoo.
 

Kwa mujibu wa polisi, Ibrahim alimuwekea mke wake sumu kwenye kinywaji aina ya soda pamoja na nyama alivyokuwa amemuandalia.
 

Mke wa Bwana Ibrahim aitwae Zakia, aliponea chupuchupu kufa baada ya machale kumcheza na kumfikisha mumewe kwenye vyombo vya sheria.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet