pmbet

Idadi ya wagonjwa kutoka nje wanaokuja kutibiwa Tanzania yafikia 6931 – Ummy Mwalimu

Eric Buyanza

March 18, 2024
Share :

"Kiwango cha wagonjwa wanaotoka nje kuja kutibiwa Tanzania kimeongezeka ndani ya miaka mitatu ikiwa ni kutokana na uboreshwaji wa huduma za afya na uwekezaji iliyofanywa na serikali katika sekta ya afya, ambapo mwaka 2021 idadi ya wagonjwa wanaotoka nje kuja kutibiwa ilikuwa wagonjwa 75 lakini mpaka kufikia Desemba 2023 wagonjwa kutoka nje wameongezeka hadi kufikia 6931 na hii ni nadra sana kwa nchi kuwa na wagonjwa wengi kutoka nje ya nchi wanaokuja kutibiwa kwenye hospitali za serikali," amesema Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet