pmbet

"Idea yangu mpya ni kubwa sana" - 50 Cent

Eric Buyanza

January 10, 2024
Share :

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Rapa mkongwe duniani 50 Cent ameibuka na kuweka ujumbe uliowaacha wapenzi wengi wa kazi zake wakitafakari.
 

Ujumbe huo uliambatana na picha yake akiwa ametinga suti kali, akivuta sigara na kando yake kuna kinywaji aina ya whisky kwenye meza. Akasema......
 

“Wazo langu jipya ni kubwa sana, sina muda wa kuvurugwa. Ninafanya mazoezi ya kujizuia, nimekuwa nikitafakari na kuzingatia malengo yangu. Natumai Mwaka Mpya huu utakusaidia kufanikiwa kwenye level nyingine,” alimalizia.

 

Je huyu jamaa atakuwa na idea gani hiyo mwaka huu?

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet