pmbet

Ijue siri ya wimbo 'Thanks' wa Burna Boy

Eric Buyanza

December 18, 2023
Share :

Kutoka nchini Nigeria, msanii Damini Ebunoluwa Ogulu, maarufu kwa jina la 'Burna Boy', ametoa siri iliyomo kwenye wimbo wake 'Thanks'
 

Kwa mujibu wa msanii huyo wimbo huo ameutunga mahususi kwa ajili ya Bibi yake.
 

"Ninapopotea muda mrefu bibi yangu ni mtu ambaye amekuwa akinipigia kelele nirudi nyumbani, cha ajabu kila ninaporudi nyumbani kumsalimia haichukui muda anaanza kunifukuza kwa kuniuliza utaondoka lini?" wimbo huu ulikuwa ni kwa ajili yake.
 

Burna Boy anasema Krismasi hii ana mpango wa kusherehekea akiwa na Bibi yake.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet