pmbet

Ilibaki kidogo tu arudi nyumbani..! Miquissone atua Libya.

Joyce Shedrack

January 23, 2026
Share :

Klabu ya Al Ahly Benghazi ya Libya imenasa saini ya nyota wa zamani wa Simba na Al Ahly aliyekuwa akikipiga nyumbani kwao UD Songo Luis Miquissone akitokea klabu ya UD Songo.

Luis Miquissone atoa msimamo wake Simba SC | Mwananchi

Miquissone, ambaye amemaliza msimu huu nchini Msumbiji akiwa na tuzo ya Mchezaji Bora na Mfungaji Bora wa ligi ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa klabu hiyo.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet