Ilibakia kidogo tu! Ningecheza Barcelona - Ronaldo
Eric Buyanza
February 4, 2025
Share :
Mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amefichua kwamba ilibaki kidogo sana kujiunga na Barcelona akitokea Sporting Lisbon kabla ya kuhamia Manchester United mwaka 2003.
Akiongea na El Chiringuito de Jugones, Ronaldo alikumbuka jinsi alivyokuwa akiwindwa na Barcelona, lakini baadaye aliamua kuichagua United chini ya Sir Alex Ferguson.