Inter Milan wanajisachi wapate mzigo wa kumnunua Anthony Martial
Eric Buyanza
April 8, 2024
Share :
Inter Milan wanaweza kumnunua fowadi wa Ufaransa Anthony Martial wakati kandarasi ya mchezaji huyo na Manchester United itakapokamilika msimu huu wa joto.
Hata hivyo taarifa zinasema uamuzi wa kumnunua Antony mwenye umri wa miaka 28 utachukuliwa pale tu klabu hiyo itakaposhindwa kumpata mshambuliaji wa Iceland Albert Gudmundsson kutoka Genoa.