Inter yampa Chivu mikoba ya Inzaghi
Sisti Herman
June 6, 2025
Share :
Klabu ya Inter Milan imempa kandarasi aliyewahi kuwa mchezaji wa klabu hiyo Cristian Chivu kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili.
Cristian Chivu anaenda Inter kurithi mikoba ya aliyekuwa kocha mkuu wa klabu hiyo Simone Inzaghi aliyetimkia Al Hilal ya Saudi Arabia.
Cristian Chivu atadumu Milan hadi mwaka 2027.