pmbet

Iramba 'kumenoga', walimu, wanafunzi wazawadiwa fedha, kompyuta

Eric Buyanza

April 13, 2024
Share :

Walimu na wanafunzi katika shule za msingi wilayani Iramba, mkoani Singida, wamepewa motisha ya zawadi mbalimbali zikiwemo fedha taslimu Sh.milioni 14.5 kwa kufanya vizuri kwenye mitihani ya taifa ya darasa la nne na saba iliyofanyika 2023.
 

Motisha hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Suleiman Mwenda, kwa walimu na wanafunzi 10 waliofaulu kwa kiwango cha juu kwenye mitihani hiyo ambapo shule zilizoongeza ufaulu na shule zilizoongoza kwa kata zilipewa zawadi ya kompyuta.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet