pmbet

Iran ilijaribu kumuua mtoto wangu - Netanyahu

Eric Buyanza

August 25, 2026
Share :

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ametoa madai mazito hadharani akisema kuwa Iran ilijaribu kumuua mmoja wa watoto wake wa kiume.

 

Netanyahu alitoa kauli hiyo wakati wa mahojiano ya simu na kituo cha televisheni cha Israel cha Channel 14. Alisema: "Kuna kitu kisichofikirika kimetokea: Iran ilimlenga mmoja wa wanangu. Iran ilijaribu kumuua, kumfanyia mauaji mwanangu mmoja."

 

Hili limekuja pia wakati Netanyahu akitetea uamuzi wa kuwapatia ulinzi mkali wa serikali mke na watoto wake kwa kipindi cha miaka mitano ijayo, hata kama atashindwa katika uchaguzi mkuu ujao. 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet