pmbet

Iran yaendeleza msako kwa wanawake wasiovaa Hijab

Eric Buyanza

March 7, 2024
Share :

Shirika la Amnesty International limeripoti kuwa maafisa wa serikali ya Iran imewaweka wanawake wa nchi hiyo chini ya uangalizi mkubwa ili kuhakikisha wanatekeleza masharti ya kuvaa hijabu kwa lazima, hata wakiwa ndani ya magari.
 

Baadae wanatoa adhabu ikiwa ni pamoja na kuwanyang'nya magari ambayo wanawake wanaokiuka kanuni hizo, wanayatumia.
 

Mwaka 2022 uongozi wa Jamhuri hiyo ya Kiislamu ulitikiswa na maandamano makubwa yaliyoshuhudia wanawake wakishutumu kanuni za mavazi, lakini uongozi huo umeweka wazi kuwa hauna mpango wa kuachana na sharti la kuvaa hijabu kwa lazima lililowekwa baada ya Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet