pmbet

Iran yamnyonga muandamanaji aliyemuua kanali wa jeshi

Eric Buyanza

May 14, 2026
Share :

Mohammad Abbasi, mmoja wa waliokamatwa wakati wa maandamano ya kitaifa ya Januari 2026 na kuzuiliwa katika Gereza la Ghezel Hesar huko Karaj, amenyongwa alfajiri ya jana, kulingana na Shirika la Habari la Wanaharakati wa Haki za Kibinadamu (HRANA).
 

Hukumu ya kifo ya Abbasi ilipitishwa hivi karibuni na Mahakama ya Juu ya Iran.

 

Chanzo kilicho karibu na familia ya mfungwa huyo, kikizungumza bila kutajwa jina kilisema maafisa wa gereza hapo awali waliita familia ya Abbasi kwanda kwenye gereza hilo, lakini walipofika wakazuiliwa kuingia na kuamua kuondoka. Baada ya familia kuondoka baadae waliarifiwa kwa njia ya simu kuwa tayari ndugu yao ameshanyongwa.
 

Abbasi alikuwa amepatikana na hatia kuhusiana na mauaji ya Luteni Kanali Shahin Dehghani wakati wa maandamano.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet