pmbet

Iran yatishia kulipa kisasi baada ya meli yao kukamatwa

Eric Buyanza

April 20, 2026
Share :

Kamanda mkuu wa jeshi la Iran, Khatam al-Anbiya, alitishia kwamba Iran ingejibu mapigo baada ya Marekani kukamata meli ya mizigo yenye bendera ya Iran, ambayo jeshi la wanamaji la Marekani liliishambulia ilipokuwa likielekea Oman, na kuelezea hatua hiyo kama “ukiukaji wa usitishaji mapigano.”
 

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari vya serikali, msemaji alieleza Marekani "ilikiuka usitishaji mapigano kwa kufyatua risasi kwenye moja ya meli za biashara za Iran katika Ghuba ya Oman, na kudhoofisha mfumo wake wa uendeshaji na kisha kuidhibiti" kwa kutumia wanajeshi wa maji.

 

"Vikosi vya Jeshi la Jamhuri ya kiislamu ya Iran vitajibu haraka na kulipiza kisasi kwa kitendo hiki cha uharamia wa kutumia silaha uliofanywa na jeshi la wanamaji la Marekani," taarifa hiyo ilisema.


 

BBC

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet