pmbet

Iraola kuondoka Bournemouth mwishoni mwa msimu

Sisti Herman

April 15, 2026
Share :

 

Klabu ya Bournemouth imetangaza kuwa kocha wao mkuu Andoni Iraola ataondoka mwishoni mwa msimu huu baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa misimu miwili.

Iraola aliiongoza timu hiyo kuifunga timu ngumu zaidi kwasasa kwenye ligi kuu Uingereza Arsenal waliposhinda 2-1 kwenye uwanja wa Emirates

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet