Ismail Mgunda kutua Simba kama mrithi wa Seleman Mwalimu.
Joyce Shedrack
August 12, 2026
Share :
Mshambuliaji Ismail Mgunda amejiunga na timu ya Simba akitokea Mashujaa Fc Ismail Mgunda ni mbadala wa Selemani Mwalimu.
Taarifa zinasema Mgunda tayari yupo safarini kujiunga na Kikosi cha Simba na Simba wameshalipa pesa kwa ajili ya Mgunda na mchezaji amaruhisiwa kuondoka kambini kwa Mashujaa FC.





