pmbet

Israel Mwenda aongeza miwili kusalia Simba.

Joyce Shedrack

June 25, 2024
Share :

Beki wa kulia wa klabu ya Simba Israel Patrick Mwenda ameongeza mkataba wa kuendelea kusalia ndani ya klabu hiyo hadi mwaka 2026.

Beki huyo anayeweza kucheza kama beki wa kulia na wa kushoto alijiunga na wekundu wa msimbazi Agosti 16 mwaka 2021 akitokea katika klabu ya KMC anaungana na Mzarimu Yassin kuwa mchezaji wa pili aliyetangazwa kuongeza kandarasi mpya ndani klabu Simba siku ya leo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet