pmbet

Israel yatangaza mashambulizi kusini mwa Lebanon

Eric Buyanza

December 5, 2025
Share :

Jeshi la Israel limetangaza kuanza kufanya mashambulizi kusini mwa Lebanon dhidi ya kile linachokielezea kama miundombinu inayomilikiwa na kundi la wanamgambo wa Kiislamu la Hezbollah, na kutoa wito wa watu kuhamishwa katika vijiji viwili katika eneo hilo. 

Vikosi vya Israel "vitashambulia miundombinu ya kigaidi ya Hezbollah hivi karibuni kote kusini mwa Lebanon ili kukabiliana na majaribio yake haramu ya kuanzisha tena shughuli zake katika eneo hilo," ametangaza Kanali Avichay Adraee, msemaji wa jeshi la Israel kwa umma unaozungumza Kiarabu.

RFI

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet