Jamaa amerudi kwenye viwango!
Eric Buyanza
November 10, 2026
Share :
Hakika, tunaweza kusema Alexander Isak amerudi kwenye makali yake msimu huu.
Isak alifunga mabao manne pekee katika mashindano yote akiwa na Liverpool msimu uliopita;
Msimu huu, tayari amefunga mabao nane na kutoa pasi moja ya bao katika mechi 14 pekee.
Jamaa amerudi kwenye viwango!






