Janine wa Yanga hakamatiki kwa ufungaji Ligi ya wanawake
Sisti Herman
April 22, 2026
Share :

Wanaoongoza kwa ufungaji Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) 2025/2026
1. Janine Mukandausenga, Yanga SC - 18
2. Jentrix Shikangwa, Simba SC - 12
3. Winfrida Hubert, JKT Queens - 8
4. Aisha Mnuka, Simba SC - 7
5. Zawadi Usanase, Simba SC - 7





