pmbet

Jay Melody atambulisha Tracklist ya Albamu yake ya 'Therapy'

Sisti Herman

April 23, 2024
Share :

Msanii wa 'Bongofleva' Jay Melody ametambulisha rasmi muonekano na orodha ya nyimbo zilizopo kwenye albamu yake mpya iitwayo jina la 'Therapy' inayotarajiwa kutoka hivi karibuni.

Kwenye orodha hiyo yenye nyimbo 14 pia kuna majina ya wasanii Phina na Benson.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet