pmbet

Jay-Z atoa msaada wa zaidi ya Bilioni 700 kusaidia elimu

Sisti Herman

June 9, 2024
Share :

Ripoti za Billboard zinaeleza kuwa kampuni ya usimamizi na uwakala wa burudani inayomilikiwa na rapa Jay-Z iitwayo “Roc Nation” imeanzisha kampeni ya kuboresha na kukuza elimu ya vijana kwa wanafunzi wa Jimbo la Philadelphia nchini Marekani.

Kampuni hiyo ilitangaza mkakati huo siku ya ijumaa kwamba itasaidia wanafunzi na kiasi cha dola Milioni 300M (Zaidi ya shilingi Bililioni 700) kama ada ya ufadhili wa masomo. 

Msaada huo umelenga kusaidia watoto wasiojiweza na kuwapa fursa za kujiunga na shule nzuri na taasisi mbalimbali za elimu ndani ya Philadelphia.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet