pmbet

JD Vance aiambia Iran, ubaya utajibiwa kwa ubaya

Eric Buyanza

June 27, 2026
Share :

Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance ameionya Iran kwamba itakabiliwa na "vikali" ikiendelea kufanya mashambulizi zaidi.

 

Onyo hilo limetolewa baada ya jeshi la Marekani kutangaza kuwa limeshambulia Iran kujibu shambulizi lake dhidi ya meli ya mizigo katika mlango wa bahari wa Hormuz.
 

Vance aliandika kwenye mtandao wa kijamii wa X: "Iran ilitia saini makubaliano ya kusitisha mapigano na tumezingatia. Ikiwa wana maswali kuhusu utekelezaji wa makubaliano hayo, wanaweza kuwasiliana nasi. Lakini mashambulizi ya vurugu yatakabiliwa kwa vurugu."

 

Amesisitiza kuwa lengo la mkataba wa makubaliano ulitiwa saini kati ya Marekani na Iran ni kumaliza karibu miezi minne ya vita.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet